Mzee mwenye umri mkubwa zaidi nchini Ambilike Panja mkazi wa ihanda wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe amefariki dunia akiwa na miaka 127, mazishi ni kesho 19 Dec 2017!!!
Mzee Panja amefariki wakati serikali ikifanya taratibu za kumuingiza kwenye record za wazee wenye umri mkubwa zaidi Duniani!!!
Mungu amlaze Mahala Pema peponi Amen!!
0 comments:
Post a Comment
AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE