December 14, 2017

MIILI YA WANAJESHI WA TZ WALIOUAWA DRC YAAGWA LEO DAR

      Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika

                                     Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
Sherehe ya kuwaaga wanajeshi 14 wa Tanzania waliokuwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa waliouawa nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo zimefanyika jiji Dar es Salaam.
Wanajeshi hao waliuawa baada ya kupigana na waasi kwa muda wa saa 13 kufuatia waasi hao kuishambulia kambi yao.
Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
                    Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
 kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
Shughuli  hii imefanyika kwenye makao makuu ya jeshi la ulinzi na usalama Tanzania "gnome" upanga jijini Dar es Salaam
Mkuu wa ulinzi wa amani wa Umoja wa mataifa Jean Piare Lacroix, alihudhuria sherehe hizo. Familia za wanajeshi hao nazo zilikuwepo na zimeungana na wapendwa wao kuelekea mikoani.
Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
Image caption Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
Shambulio hilo lilitekelezwa Alhamisi jioni kwenye kambi ya jeshi ya Semuliki eneo la Beni katika mkoa wa Kivu Kaskazini.
Taarifa ya Umoja wa Mataifa ilisema wanajeshi 5 wa jeshi la DR Congo (FARDC) waliuawa pia kwenye shambulio hilo.

Umoja wa Mataifa unasema waasi wa ADF ndio wanaotuhumiwa kutekeleza shambulio hilo.
Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
 kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
                    kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE