December 2, 2017

KONGAMANO LA VIJANA KUHUSU KUTOKOMEZA RUSHWA LAFANYIKA


 DSC_0007
Afisa uhusiano kutoka mamlaka ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumu (ZAECA)Mwanaidi Suleiman Ali akisoma ratiba ya Uzinduzi wa Kongamano la Vijana kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
DSC_0011
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Mussa Haji Ali akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kongamano la Vijana kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
DSC_0024
Mgeni rasmi Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kubingwa Mashaka Simba akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Kongamano la Vijana  kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
DSC_0041
Baadhi ya Vijana na wageni waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Kongamano la Vijana  kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
DSC_0053
Afisa Elimu Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Yussuf Juma akiwasilisha mada ya Nafasi ya Vijana katika kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi  katika Uzinduzi wa Kongamano la Vijana  kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
DSC_0131
Mwenyekiti wa Vijana Shehia ya Kikwajuni Abdulrahman Ali Mrisho akitoa mchango wake katika Uzinduzi wa Kongamano la Vijana  kuhusu kupambana na kutokomeza vitendo vya Rushwa na Uhujumu Uchumi hafla iliofanyika Baraza la Wawakilishi la zamani Kikwajuni mjini Unguja..Ikiwa ni shamra shamra za Wiki ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANIZBAR.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE