December 8, 2017

HOT NEWS ALIYEKUWA MGOMBEA URAIS ACT WAZALENDO AJIUZULU ACT AJIUNGA CCM

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira leo katika Mkutano Mkuu wa 9 wa Umoja wa Wanawake (UWT) ametangaza rasmi kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).

“Baada ya kufanya kazi chini ya serikali hii kwa takriban miezi 6, 7 sasa, ninaona nina sababu ya kutangaza kwamba ninapenda kuungana Chama cha Mapinduzi” – Anna Mghwira

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE