November 26, 2017

WAGOMBEA WATANO WAJITOA UCHAGUZINI MKOANI ARUSHAMwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameagiza wagombea wote wa udiwani wajitoe kwenye uchaguzi wa kata tano Arumeru Mashariki, mawakala na viongozi wote watoke vituoni.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumapili alisema tayari amewasiliana pia na Tume ya Uchaguzi kwa kuwa Arumeru sio uchaguzi ni vurugu watu wanatekwa kama Mbunge wa Babati Mjini, Paulina Gekul hadi sasa ametekwa na hajulikani alipo
Kutokana na hali hiyo Mbowe ametaka Tume ya Uchaguzi kuitisha uchaguzi mpya.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE