November 13, 2017

TETEMEKO LAUA ZAIDI YA WATU 100

 A damaged storefront is seen after an earthquake in Halabja, Iraq                                     Tetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 100                

Tetemeko la ukubwa wa 7.3 katika vipimo vya richa limekumba eneo la kaskazini mwa Iran na Iraq na kuua watu kadha.
Takriban watu 129 waliuawa katika mkoa ulio magharibi mwa Iran wa Kermanshah, kwa mujibu wa maafisa.
Tetemeko hilo lilizua hofu hadi kusababisha watu kukimbia kutoka manyumbani mwao kwenda barabarani.
Misikiti kwenye mji mkuu wa Iraq Baghdad, imekuwa ikifanya maombi kwa kutumia vipasa sauti.
Wengi wa waathiriwa walikuwa ni kwenye mji wa Sarpol-e Zahab, kilomita 15 kutoka mpakani.
Kulingana na kituo cha Marekani USGS tetekemo hilo lilitokea umbali wa kilomita 33.9 chini ya ardhi la lilisikika nchini Uturuki, Israel na Kuwait
Three Baghdad residents in the streets after a powerful earthquake struck
Tetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 100
Uharibifu umeripotiwa kuetka katika vijiji vinane kwa mujibu wa shirika la msalaba mwekundu nchini Iran Morteza Salim.
Baadhi ya vijiji vimekumbwa na matatizo ya nguvu za umeme na mawasiliano yamevurugwa
Makundi ya uokoaji yanatatizwa na maporomoa ya ardhi.
Tetemo hilo lilitokea kilimita 30 kusini magharibi mwa mji wa Halabja karibu na mpaka wa Iran.
Lilitokea umbali wa kilomita 33.9 na lilisikika nchini Uturuki, Israel na Kuwait.
A map showing an earthquake in the Iran-Iraq border region
                                     Tetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 100
.................................................................................................................................................
kuwa  wa kwanza  kupata  habari kutoka  pande  zote  za  Dunia  kupitia  Yotube Chanel  zetu  za  Matukio daima  na Daima burudani kumbuka  kujiunga  bonyeza  sehemu  iliyoandikwa SUBSCRIBE utakuwa umejiunga  nasi  pia ingia play  store  pakua APPS yetu MatukiodaimaBlog bure

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE