November 1, 2017

SPIKA NDUGAI, KATIBU WA BUNGE, NDG. KAGAIGAI WATEMBELEA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII


IMGL0730
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akiwasili na kupokelewa na  Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Ndg. Sebastian Kapufi (kulia) kabla ya kuanza kikao na kamati hiyo kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.
IMGL0772
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia kikao cha pamoja cha kamati hiyo walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai, katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake. katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma.
IMGL0861
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa pili kulia) akiwasiliza Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. kulia ni katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa, Sebastian Kapufi
IMGL0902
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. kushoto ni katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai na kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa, Sebastian Kapufi.
IMGL0920
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, wakifuatilia kikao cha kamati hiyo walipotembelewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai na katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake katika kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. kushoto ni Mheshimiwa Mary Chatanda, katikati ni Mheshimiwa Atupele Mwakibete na kulia ni Mheshimiwa Neema Mgaya.
IMGL0948
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. wa tatu kulia ni Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa, Sebastian Kapufi.
IMGL0963
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen kagaigai akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa lengo la kuangalia jinsi kamati hiyo inavyotekeleza majukumu yake katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Chuo kikuu cha Dodoma, uliopo Mjini Dodoma. wa tatu kulia ni Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mheshimiwa, Sebastian Kapufi.
PICHA NA OFISI YA BUNGE

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE