November 8, 2017

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KONGWA.

IMGL1880
Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la kongwa, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Watendaji Mbali mbali wa halmshauri ya wilaya ya kongwa katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake kongwa Mjini Dodoma.
IMGL1920
Watendaji Mbali mbali kutoka halmashauri ya wilaya ya kongwa wakimsikiliza Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) wakati wa kikao cha pamoja kilichofanyika leo katika ofisi ya Mbunge (Spika wa Bunge) wilayani kongwa Mkoani Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE