November 22, 2017

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU

SP1a
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkaribisha Balozi wa Oman nchini Ali A.Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP1b
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Oman nchini Ali A.Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP1c
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Oman nchini Mhe. Ali A. Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP2a
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP2b
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP2c
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiagana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao leo Jijini Dar es Salaam.
SP3a
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP3b
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP3c
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea barua ya Spika wa Bunge la Kuwait kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Picha na: Frank Shija – MAELEZO

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE