November 9, 2017

SERIKALI YAIFUNGIA HOTELI YA BLUE PEARL

Serikali imeifungia Hoteli ya Blue Pearl kwa kushindwa kulipa kodi kiasi cha Billioni 5 na milioni 700 tangu mwaka 2014.
Hoteli ya Blue Pearl ilikuwa ikiendeshwa katika jengo la Ubungo Plaza Ltd inayomilikiwa na mashirika ya Umma ya NSSF, PSPF,  na NIC ambalo ni shirika la bima la taifa
Hata hivyo baada ya kuifungia hotel hiyo kampuni hiyo ya Udalali ya Yono imefuta jina la Blue Pearl Hotel

Muonekano wa Hotel Blue Pearl baada ya kufungiwa na kufutwa jina

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE