November 24, 2017

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA MABALOZI WA NCHI MBILI IKULU ZANZIBAR LEO

DSC_4433
RAIS  wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifuatana na  mgeni  wake Balozi wa Oman Nchini Tanzania Balozi Ali Abdulla  Al- Mahruq, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha .
DSC_4199
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti  wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Rotlan Paradede alipofika Ikulu Zanzibar  kwa mazungumzo leo
DSC_4224
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe. Rotlan Paradede , alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo
DSC_4409
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ak. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Al Abdulla  Al-Mahruq alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha leo
DSC_4419
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ak. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Al Abdulla  Al-Mahruq alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha  akiwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Mhe.Ahmed Humuod Al -Habs  leo 24/11/2017.
Picha na Ikulu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE