November 1, 2017

NEC- WANASIASA WASIO WAHUSIKA HAWATARUHUSIWA KUFANYA KAMPENI


Akizungumza Mikutano ya Kampeni Mkurugenzi wa uchaguzi ramadhani Kailima alitoa wito kwa vyama vya siasa kutambua kwamba Tume ya Taifa ya uchaguzi imeruhusu mikutano ya kampeni na sio mikutano ya vyama vya siasa. Amesema mtu anayeruhusiwa kwenye mikutano ya kampeni ni mgombea mwenyewe, chama chake au mtu yeyote ambaye anaona anaweza kumfanyia kampeni ndani ya katiba iliyopitishwa.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE