November 3, 2017

NAIBU WAZIRI AZINDUA CHETI CHA MFUMO WA UHAKIKI UBORA WA HUDUMA KATIKA KIWANGO CHA KIMATAIFA TFDA

1
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa TFDA  wakati akizindua CHETI CHA MFUMO WA UHAKIKI UBORA WA HUDUMA KATIKA KIWANGO CHA KIMATAIFA CHA ISO 9001-2015 tukio lililofanyika katika viunga vya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
2
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akitoa maelekezo mbele ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA)  Hiiti Sillo wakatikati na Mwenyekiti wa Bodi ya TFDA Dkt Ben Moses.
3
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile  na watendaji wa TFDA wakiwa wameshishika cheti cha mfumo wa Uhakiki Bora katika Kiwango cha Kimataifa Cha Iso 9001-2015.
4
Meneja Uchunguzi wa Dawa na Vipodozi Dkt. Yonah Hebron akitoa maelekezo mbele ya Naibu Waziri Dkt. Faustine Ndugulile wakati akitembelea maabara katika viunga vya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam, kulia kwa Naibu Waziri ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula, Dawa na Vipodozi (TFDA)  Hiiti Sillo.
5
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakwanza kushoto akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu TFDA wapili,  Mwenyekiti wa Bodi ya TFDA Dkt. Ben Moses wa tatu, na wa mwisho ni Meneja uchunguzi wa chakula  Dkt. Mziray
DSC_0485
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiangalia baadhi ya bidhaa zinazopelekwa TFDA kwa ajili ya Uchunguzi
…………………………………………………………………………………….
Na WAMJWW
Mamlaka ya Chakula na Dawa na Vipodozi TFDA yatakiwa kuboresha udhibiti wa Dawa, Vipodozo na Chakula nchini ili kulinda afya ya Watanzania inayotokana na kununua bidhaa hizo zisizo na ubora.
Hayo yamesemwa mapema leo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati akizindua CHETI CHA MFUMO WA UHAKIKI UBORA WA HUDUMA KATIKA KIWANGO CHA KIMATAIFA CHA ISO 9001-2015 tukio lililofanyika katika viunga vya Mamla hiyo jijini Dar es Salaam.
“Dawa ni kitu nyeti sana, hatuwezi kuruhusu dawa feki kuingia nchini, mnafanya kazi nzuri sana katika nyanja hii  na muendelee na mpango huu, ” alisema Dkt. Faustine Ndugulile.
Mh. Faustine aliendelea kusisitiza Dawa zote zinazotumika nchini zinasifa na vigezo vinavyohitajika ,
zinazoingia nchini  Lengo ni kuboresha juhudi ya kazi mnazoendelea kuzifanya

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE