November 30, 2017

MKESHA WA THE WORSHIPPERS NIGHT 2017 KUFANYIKA IJUMAA HII KATIKA UKUMBI WA UPANGA CCC

WAKAZI WA DAR ES SALAAAM MKO TAYARI? The worshippers night 2017 - USIKU WA WAMUABUDUO ni usiku wa kusifu na kuabudu ambapo watu wote wa Dar es salaaam tutakutana katika ukumbi wa CCC UPANGA JIJINI DAR E SALAAAM, Ni siku ya ijumaaa hii tarehe 1.12.2017 kuanzia saa 2 kamili usiku. Mkesha huu unawaunganisha watu wote wa madhehebu yote. Mkesha huu utapambwa na choir na waimbaji mbalimbali kama vile
 1. Kwaya ya uinjilisti KIJITONYAMA
 2. AIC CHANG'OMBE
 3. MTBC PRAISE AND WORSHIP TEAM
 4. IFM TAFES
 5. MSASANI PRAISE AND WORSHIP TEAM
 6. ESSENCE OF WORSHIP
Bila kuwasahau wenyeji THE WORSHIPPERS NIGHT MASS CHOIR Pamoja na waimbaji binafsi wakiwemo
 1. BEDA ANDREW
 2. SARAH NDOSI
 3. BOMBY JOHNSON
 4. NSAJIGWA MWODEKAI
 5. ROGATE KALENGO
KUMBUKA NI IJUMAA HII PALE UPANGA CCC BUREEEEE KABISA KWA MAWASILIANO ZAIDI 0657266777 NA 0627111777 THE WORSHIPPERS NIGHT---- KUSANYIKO LA WOTE WAMUABUDUO KAWAIDA Inline image 1

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE