November 19, 2017

CHUO CHA AFYA CHA TUMAINI JIPYA MAFINGA KINATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

TUMAINI JIPYA MAFINGA NAFASI CHACHE ZIMEBAKI
WANAFUNZI WA CHUO CHA AFYA CHA  TUMAINI JIPYA MAFINGA MKOANI IRINGA WAKIWA  DARASANI 
WANAFUNZI  WA CHUO CHA AFYA CHA  TUMAINI JIPYA MAFINGA MKOANI IRINGA WAKIWA  NJE YA  CHUO  HICHO 
TUMAINI  JIPYA  NDICHO  CHUO  BORA  ZAIDI 
MWONEKANO  WA CHUO 
HIKI  NDICHO  CHUO  BORA  ZAIDI KINAPOKEA  WANAFUNZI TOKA PANDE ZOTE NCHINI 
HUNA  SABABU YA  KUULIZA  CHUO  ULIZA  TUMAINI  JIPYA  MAFINGA 
MKUU WA CHUO CHA AFYA CHA  TUMAINI JIPYA MAFINGA MKOANI IRINGA  ANA FURAHA KUWATANGAZIA KUWA CHUO KINAPOKEA MAOMBI YA AWAMU YA  PILI YA WANAFUNZI WALIOKOSA KUTUMA MAOMBI YA KWANZA  AWAMU HII YA PILI IMEANZA   MWEZI HUU NOVEMBA 2017 KWA  AJILI YA MWAKA WA  MASOMO 2017 /2018

KWA  KOZI ZIFUATAZO.
                                                    
1. CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE YAANI TABIBU MSAIDIZI KWA MIAKA MIWILI

Sifa za mwombaji: Awe na ufaulu wa kidato cha nne kwa angalau alama D nne yakiwemo masomo ya sayansi yaani Fizikia (Physics), Kemia (Chemistry) na Baolojia (Biology)

2. CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH (Uhudumu wa afya ngazi ya jamii) MWAKA MMOJA

Sifa za mwombaji: Awe na ufaulu wa kidato cha nne kwa angalau D nne likiwemo somo la Baolojia (Biology)YOTE HAYO YANAZINGATIA MWONGOZO WA WIZARA YA AFYA NA NACTE.

CHUO KIMESAJILIWA KWA USAJILI WA KUDUMU KWA NAMBA 144.

ADA ZETU NI NAFUU NA ZINALIPWA KWA AWAMU.

FOMU ZINAPATIKANA CHUONI TUMAINI JIPYA MAFINGA – IRINGA AU KWENYE WEBSITE YA CHUO.www.tumainijipya.ac.tz pia matukiodaimaBlog 

Kwa maulizo tafadhali wasiliana na chuo kwa namba 0755 535 301 AU 0625 716 530 AU 0754 444 151.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE