November 25, 2017

BREAKING NEWS, DALADALA ILIYOIBA NJIA YAPATA AJALI ITAMBA IRINGA MJINI

Daladala inayofanya safari Zake Kati ya Tumaini na Mawelewele imepata ajali mchana huu njia ya Itamba ambako dereva wake aliiba njia hiyo. 

Katika ajali hiyo abiria wawili wamejeruhiwa huku wengine wakinusurika. 


0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE