October 22, 2017

WAKUU WA MASHIRIKA NA TAASISI ZA UMMA WABADILISHANA UZOEFU JIJINI DAR ES SALAAM


Mwenyekiti wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao, kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017
Mwenyekiti wa muda wa kundi la wakuu wa Mashirika na Taasisi za Umma, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wakuu wakuu hao, kwenye kikao cha kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuongeza ufanisi ili kwenda sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Mkutano huo ulifanyika makao makuu ya PSPF jijini Dar es Salaam Oktoba 20, 2017. Kulia ni Katibu wa muda wa kundi hilo, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HELSB), Bw. Abdul –Razak Badru


 Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe
 Bw. Abdul –Razak Badru
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela, (kulia), akizungumza kwenye kikao hicho. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magzeti ya Serikali, (TSN), Dkt. Jim Yonazi, na Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean Bwanakunu.

Mkurugenzi Mkuu wa  Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka.

 Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka
  Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi, (aliyesimama), akizungumza,

Mwenyekiti wa muda wa kundi la wakuu wa Taasisi za Serikali, ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji  wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, (TIC), Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania, (TBS), Profesa Egid Beatus Mubofu, (watatu kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magazeti ya Serikali (TSN), Dkt. Jim Yonazi, (wakwanza kushoto), wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa  Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, muda mfupi kabla ya kuanza mkutano wa wakuu wa taasisi za umma, kwenye ukumbi wa mikutano wa PSPF, Makao Makuu jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkutano huo ulilenga kuwaleta pamoja viongozi hao ili kubadilishana uzoefu kwa nia ya kuboresha utendaji wao kwa ili kwenda sambamba na kasi ya serikali ya awamu ya tano.

Mkurugenzi Mkuu wa  BRELA, Bw Frank Kanyusi, akizungumza kwenye kikao hicho

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania, (TBS), Profesa Egid Beatus Mubofu, akizungumza.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela

Mtendaji Mkuu wa DART, Mhandisi Bw. Ronald Lwakatare,, akipitia ajenda za kikao hicho.

Mkurugenzi Mkuu wa  Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, akizungumza kwenye kikao hicho. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANTRADE, Bw. Edwin Rutageruka
 Mkurugenzi Mkuu wa  Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu(katikati), akibadilishana mawazo na Dt. Yonazi, (kulia), na Bw.Rutageruka.
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchni, (TAA), Bw.Richard Mayongela, (katikati), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, ambaye pia ni Menyekiti wa muda wa kundi hilo, Bw.Geoffrey Idelphonce Mwambe, (kushoto) na Bw. Mayingu.
Mtendaji Mkuu wa DART, Mhandisi Bw. Ronald Lwakatare, akipitia ajenda.
Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean Bwanakunu, akisikiliza kwa makini
 Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Bw.Laurean Bwanakunu (aliyesimama), akizungumza.
 Bw. Mayingu na wakuu wenzake wakifuatilia kwa makini mjadala.
Mtendaji Mkuu wa DART, Mhandisi Bw. Ronald Lwakatare, akisikiliza.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE