October 18, 2017

WAKATI MGUMU WA SIASA ZA AFRIKA YA MASHARIKI


  • Tunaweza kukieleza kama kipindi cha majaribu makubwa kwa nchi tatu kuu za Afrika Mashariki, Tanzania, Kenya na Uganda. Changamoto za kisiasa ambazo nchi hizi zinapitia zinatishia umoja, amani na maendeleo ya nchi hizo.
  • Ukiangalia siasa za nchi hizi, unaweza kujiuliza nchi gani ina nafuu; ni ngumu kujua.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE