October 20, 2017

TAZAMA WANAHABARI IRINGA WAKIRUKA ENEO LA HIFADHI YA SAANANE MWANZA

mmiliki wa mitandao ya matukiodaima Francis Godwin kulia na Mohamed Nyaulingo wa TV 1 wakiruka hewani kando ya ziwa Victoria katika hifadhi ya Taifa ya Saanane mkoani Mwanza 
Mwanahabari wa mtukiodaima Francis Godwin akiruka juu zaidi 
Mwanahabari Ester Malibiche akiruka 
Wanahabari kutoka mkoa wa Iringa wakiruka kwa pamoja hifadhi ya saanane kutoka kulia Francis Godwin, Janeth Matondo na Anita Boma 
waandishi wa habari Tanzania ( UTPC)  wakiwa hifadhi ya Taifa ya Saanane mkoa wa Mwanza kutoka kulia ni Frederick Siwale, Francis Godwin, Janeth Matondo na Anita Boma 
Mwenyekiti wa wanahabari Iringa na mjumbe wa bodi ya UTPC Frank Leonard kushoto akipumzika na wanahabari wenzake hifadhi ya saanane 
za
Mzee wa matukiodaima Francis Godwin na Frederick Siwale wakiruka hifadhi ya Saanane 
Wanahabari Janeth Matondo na Anita Boma wakifurahia kuruka pamoja

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE