October 5, 2017

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BUNGE LA NCHI ZA KIARABU

SPIKA OKTOBA 1
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
SPIKA OKTOBA 2
Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge  la Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud akijadiliana jambo na Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
SPIKA OKTOBA 4
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akipokea barua ya ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Bunge lma Nchi za Kiarabu, anayekabibidhi barua hiyo ni Mjumbe Maalum  wa Rais huyo, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud wakati alipomtembelea leo Ofisin kwake Mjini Dodoma.
SPIKA OKTOBA 5
Mjumbe Maalum wa Rais wa Bunge la Nchi za Kiarabu, Dkt. Feda Yehia Ahmed Alhmoud akipokea zawadi ya kinyago kutoka kwa Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai walipokutana na kufanya mazungumzo leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE