October 11, 2017

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MASENETA WA BARAZA LA MAREKANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

IMGS0003
ais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake  walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
IMGS0008
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson aliyeongozana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani  na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
IMGS0016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson aliyeongozana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani  na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
IMGS0041
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Viwanda Biashara na uwekezaji Mhe. Charles Mwijage,Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamiss Kigwangala,Naibu Waziri wa Mambo ya nje Mhe. Suzane Kolimba wakiwa katika picha ya pamoja  Maseneta wa Baraza la Marekani wakiongozwa na Seneta James Inhofe mara baada ya kufanya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza   Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani baada ya kufanya naye mazungumzo na ujumbe wake  Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 11, 2017.
PICHA NA IKULU

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE