October 13, 2017

RAIS DK.SHEIN APOKEA UJUMBE KUTOKA SERIKALI YA OMAN


DSC_9372
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi akifuatana na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
DSC_9242
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi wa pili kulia) akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
DSC_9263
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa  akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman,
DSC_9302
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa  akibadilishana mawazo na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin  Hamed Al Ruhmi baada ya mazungumzo na  Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Picha na Ikulu

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE