October 18, 2017

NIC WAJICHIMBIA ARUSHA


Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa
(NIC) Ndugu Sam Kamanga akizungumza jambo wakati wa Mkutano wa Mameneja wa
Shirika la Bima la Taifa unaoendelea mjini Arusha

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya NIC wakiwa katika mkutano huo wa mameneja wa NIC unaoendelea jijini Arusha

Mwenyekiti wa Bodi ya NIC Ndugu Laston Msongole
akizungumza jambo wakati wa mkutano wa mameneja wa  Shirika la Bima
la Taifa unaoendelea mjini Arusha , kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika
la Bima la Taifa (NIC) Ndugu Sam Kamanga


Picha ya pamoja ya wajumbe wa Bodi na Mameneja wa
Shirika la Bima la Taifa (NIC)unaoendela Jijini Arusha

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE