October 23, 2017

NAIBU WAZIRI KWANDIKWA AWASILI OFISINI KWAKE DODOMA.

1
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto mbele), akipokelewa na  Mkurugenzi wa huduma za ufundi na umeme wa Wizara hiyo ambaye anamwakilisha Katibu Mkuu, Dkt. William Nshama, mara baada ya kuwasili ofisini kwake mjini Dodoma, leo.
2
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto), akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake leo, mjini Dodoma mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.
3
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (kushoto), akimsalimia mmoja wa wafanyakazi leo, mjini Dodoma, mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.
4
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa, akizungumza na Menejimenti ya Wizara hiyo leo, mjini Dodoma, mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kutekeleza majukumu ya Serikali aliyopewa katika Wizara hiyo.
5
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (katikati), akitambulishwa na kuoneshwa ofisi mbalimbali zilizopo katika Wizara hiyo leo, mjini Dodoma.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE