October 6, 2017

MAMA WA MITINDO KUONYESHA MITINDO YAKE HUKO DALLAS TEXAS 7- OCT – 2017Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea kwa namna moja ama nyingine kupitia Tasnia ya Mitindo kutoka kwa Designers wetu ambao wamekuwa wakipata fursa ya kuonyesha Mavazi yao kwenye nchi za ugenini. hii ni nyingine tena. Mama wa Mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin,  Jumamosi ya wiki hii 7,October, 2017 ataonyesha Mitindo yake kwenye event kubwa huko DALLAS TEXAS ambayo imepewa jina la EAST AFRICAN CHAMBERS OF COMMERCE. 


Kwako mdau wa Fashion usikose kumshirikisha ndugu jamaa au rafiki yako ili kuendelea kuikuza Tasnia hii ya Mitindo Tanzania. Asante.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE