October 13, 2017

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA UTALII

UT0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
UT1a
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
UT1b
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Mstaafu Gaudenci Milanzi akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
UT1c
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanayoratibiwa na Bodi hiyo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC).
UT1d
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Bibi. Devotha Mdachi akielezea jambo wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere (JNICC).
UT2a
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akitembelea baadhi ya mabanda ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere (JNICC).
UT3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akimkabidhi mwakilishi wa Kampuni ya Ethiopia Airline tuzo ya kuthamini mchango wa kampuni hiyo katika kufanikisha maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) katika hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius  Nyerere (JNICC).
UT4
Baadhi ya washiriki wa maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa maonesho hayo leo jijini Dar es Salaam.
UT5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Taasisi zake mara baada ya kuzindua rasmi Maonesho yaTatu ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili (Swahili International Tourism Expo) leo jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya siku tatu yanafanyika katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Nyerere (JNICC).
Picha na: Frank Shija – MAELEZO

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE