October 15, 2017

MAGAZETINI JUMAPILI YA LEO OCTOBER 15/2017 ,LEO NI KUMBUKUMBU YA KIFO CHA DEO FILIKUNJOMBE ALIYEKUWA MBUNGE WA LUDEWA

Image result for deo filikunjombe mbunge  ludewa
Mbunge wa  Ludewa  Deo  Filikujombe enzi za uhai  wake ,Filikunjombe na  wenzake watatu akiwemo Rubani ,Nkwera na Haule walipoteza  maisha tarehe kama  na mwezi kama  huu kwa ajili ya Helkopta akitokea  jijini Dar es Salaam kwenda wilaya ya  Ludewa kuendelea na kampeni  za uchaguzi  mkuu mwaka 2015 pamoja na kutangulia mbele  za  haki  ila  bado anaishi  mioyoni  mwa  wana Ludewa na  watanzania kutokana na  michango  yake   bungeni Bwana  alitoa na Bwana ametwaa  jina  lake daima lihimidiwe Image result for deo filikunjombe mbunge  ludewaImage result for deo filikunjombe mbunge  ludewa0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE