October 3, 2017

HONGERA VICTOR CHAKUDIKA WA RADIO NURU FM NA WOTE MLIOZALIWA TAREHE NA MWEZI KAMA HUU HUU NI WIMBO MAALUM KWENU

Meneja  wa  kituo cha  Radio  Nuru FM  (93.5 Mhz) Victor  Chakudika  pichani  leo ni siku  yake ya  kuzaliwa  hongera  kwake na  wote  waliozaliwa  siku ya  leo
Chakudika  akiwa katika  gari  lake  yeye  ni Simba ila gari rangi ya Yanga usiniulize
Image result for vICTOR cHAKUDIKA
Chakudika   siku  alipotoa  msaada  wa  Hospitali  ya mkoa  wa  Iringa

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE