October 6, 2017

INIESTA ASAINI MKATABA WA MAISHA BARCELONA


Kiungo mkongwe na nyota wa Barcelona, Andres Iniesta amesaini mkataba wa maisha na klabu hiyo.
Iniesta amekubali kubaki Barcelona milele na hats baada ya kustaafu ataendelea kufanya kazi mbalimbali za klabu hiyo.
Maana yake, Iniesta hawezi kujiunga na klabu nyingine yoyote.
Iniesta ana vikombe 30 alivyobeba na Barcelona, kikombe cha 30 kikiwa ni kile cha msimu uliopita cha  Copa del Rey.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE