October 1, 2017

HUU NI MWONEKANO WA MAONYESHO YA UTALII KARIBU KUSINI KTK VIWANJA VYA KICHANGANI IRINGA MJINI

Wananchi  wa mji  wa  Iringa   wakitoka katika  uwanja wa  maonyesho ya  utalii ya karibu  kusini  katika  viwanja vya  Kichangani  mjini Iringa
Wananchi wakitazama mashine  zinazouzwa katika  maonyesho hayo
Wajasiliamali  watumia  vema  fursa
Banda la pipi za Ivori Iringa 
Banda la  Iringa  Sun Set  Hoteli  na  Mikumi Safari  Lodge
Mkurugenzi  wa  Iringa  Sunset  Hoteli Bw   Filipatali  kulia  akitoa  maelekezo

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE