October 4, 2017

HUU NDIO USAFIRI WA MISHIKAKI YA MWENDOKASI KIJIJI CHA IKUKA MKOANI IRINGA

Wakazi  wa  kijiji  cha Ikuka  wilaya ya  Iringa wakisafiri  na usafiri wa  boda  boda  maarufu kama  mishikaki ya  mwendo  kasi
Usafiri  huu  abiria hutozwa  kwa  kichwa   kutoka  kituo A kwenda  B  hulipia  shilingi 1000 ni  zaidi ya nauli  ya  daladala  mijini

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE