October 7, 2017

HOT NEWS. PIGO JINGINE MBUNGE MSIGWA DIWANI CHADEMA IRINGA MJINI AJIUNGA CCM


Aliyekuwa  diwani wa  chadema kata ya  Kitwiru  Manispaa ya  Iringa Baraka  Kimata  amejiunga na  CCM leo  pamoja na   viongozi  wengine  watatu  kutoka  kata  hiyo  huku  akiahidi  kuwaleta wenzake wengi  zaidi

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE