October 25, 2017

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU


TA1A1476
 Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali katika   Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali  wakiwa katika  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),
TA1A1478
Baadhi ya Maafisa  wa Idara mbali mbali katika ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akifungua  kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja
TA1A1498
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali   katika  kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,
TA1A1508
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali   katika  kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,
TA1A1515
Waziri wa   Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) akiwasilisha taarifa ya  Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017  katika  kikao cha siku moja cha Uongozi wa Wizara  hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na (kushoto) Naibu Waziri wa  Wizara hiyo Mhe.Mmanga Mjengo Majawiri
TA1A1528
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali  Nd,Khadija Bakari Juma akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),akiwepo Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd,Abdalla Mzee Abdulla,(kulia)
TA1A1532
Baadhi ya Viongozi wa Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali wakifuatilia kwa makini taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 iliyosomwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali  Nd,Khadija Bakari Juma(wa pili kushoto) katika  kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
TA1A1537
Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Prof.Idrissa Rai (kushoto) alipokuwa akielezea jambo  wakati wa kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 cha Uongiozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, kilichofanyika leo katika ukumbi wa  Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), na Naibu Waziri wa  Wizara hiyo Mhe.Mmanga Mjengo Majawiri,
Picha na Ikulu.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE