October 6, 2017

DC KILOLO AANZA KUWABANA WANAOWAPA MIMBA WANAFUNZI AENDESHA ZOEZI LA UPIGAJI KURA ZA SIRI

Wazee  wa  kijiji  cha  Kibadaga  wakipiga  kura za siri  kufichua  wanaobaka  na  kuwapa  mimba  wanafunzi  wa  sekondari
Wananchi  wakipiga  kura  za  siri kufichua  wanaojihusisha na mimba  za wanafunzi
Wajumbe  wa kamati ya  ulinzi na usalama  wilaya ya  Kilolo wakisimamkia  zoezi la  kura za siri  kufichua  wanajihusisha  na mahusiano na  wanafunzi


Usipitwe na  habari  hii katika  gazeti la Mtanzania na Rai  kwa  undani  zaidi  ama  tembelea Yotube :MatukiodaimaTv

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE