September 11, 2017

UVCCM WACHANGIA MILIONI 7 MATIBABU YA TUNDU LISU


Kitendo kilichofanywa na Umoja wa vijana CCM kupitia ndugu Shaka na Jokate kuwakilisha mchango wa milioni 7 kugharamia matibabu ya Lissu,tena bila uwepo wa kamera kumeonesha kukua kwa siasa nchini na uvumiliano wa hali ya juu.

Hizi ndio aina za siasa zinazohitajika nchini,kuna maisha baada ya watu wasiojulikana,nchi ni yetu sote kwanini tugombee fito.
Mungu ibariki Tanzania.

Chanzo mitandaoni leo 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE