September 8, 2017

TUNDU LISU ATOKA SALAMA CHUMBA CHA UPASUAJIRais wa chama cha mawakili Tanganyika na mwanasheria wa Chadema Tundu Lissu ametolewa salama katika chumba cha upasuaji baada ya Masaa 7 tangu saa nne asubuhi hadi sasa saa kumi na Moja jioni na upasuaji umefanyika kwa mafanikio hivyo yupo Executive ICU kwa uangalizi wa karibu zaidi.

Tutaendelea kuwajuza. Na tunawahakikishia kuwa madaktari wametueleza hakuna tishio lolote kiafya yuko macho na fahamu zote na hii ndio ilikuwa hatua ngumu na mungu ametupitisha hivyo tuendelee kumuombea apone haraka.

Hemedi Ali
Mkuu wa idara ya Uenezi CHADEMA.
Nairobi hospital.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE