September 14, 2017

TUNDU LISU ANAENDELEA VIZURI -MBOWE

TAARIFA.

Kuna taarifa zinaenezwa katika mitandao ya kijamii kuhusu Mh Lissu, tuzipuuze Mh Lissu anaendelea na matibabu na Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe ameongea na Vyombo vya habari kutoa maendeleo yake. Tufuatilie habari NTV, BBC, VOA, ITV nk.

Hemed Ali 
Mkuu wa idara ya Uenizi CHADEMA.

Nairobi Hospital.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE