September 28, 2017

TIZEBA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MBOLEA DAR ES SALAAM

Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba akiongea na wadau wa Mbolea wa Tanzania alipofungua mkutano wao katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania, Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu (kulia) akimkabidhi Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba zawadi ya kitabu wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wadau mbolea walipkutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 28 2017. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea Tanzania, Salum Mkumba na Mkurugenzi Mkazi wa Taasis ya Biashara za Mbolea Afrika (AFAP), Dkt. Mbette Mshindo.
Mkurugenzi Mkazi wa Taasis ya Biashara za Mbolea Afrika (AFAP), Dkt. Mbette Mshindo akiongea na wadau wa mbolea wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa wadau mbolea walipokutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 28 2017. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea Tanzania, Salum Mkumba, Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba na Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania, Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Eng. Mathew Mtigumwe akitambulishwa kwa wadau.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania, Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu akiongea na wadau wakati wa ufunguzi wa Mkutano walipokutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 28 2017. Kutoka (kushoto) ni Mwenyekiti wa Umoja wa Wauza Mbolea Tanzania, Salum Mkumba na Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Biashara za Mbolea Afrika (AFAP), Dkt. Mbette Mshindo na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tizeba.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam. 
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
Wadau wa Mbolea wa Tanzania  wakifuatilia mada katika mkutano wao Dar es Salaam.
 Mkuu wa Shirika la Mapinduzi ya Kijani Afrika (AGRA) kwa Tanzania, Rwanda na Uganda, Profesa Nuhu Hatibu (kushoto)  akiteta Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Eng. Mathew Mtigumwe wakati wa ufunguzi wa Mkutano walipokutana jijini Dar es Salaam leo Septemba 28 2017. 
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dkt. Charles Tzeba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE