September 5, 2017

TAMASHA LA 14 LA TGNP MTANDAO LAZINDULIWA LEO NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN


Washiriki wa Tamasha la 14 la TGNP MTANDAO wakiwa katika tamasha hilo kwenye viwanja vya TGNP mabibo jijini Dar es Salaam leo, tamasha ambalo limehudhuriwa na makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan 
Wanawake washiriki wa Tamasha hilo wakicheza kwa furaha 
wanawake washiriki wa tamasha la TGNP wakiwa katika tamasha hilo 

Baadhi ya washiriki wa tamasha la 14 la mtandao wa kijinsia Tanzania (TGNP mtandao)  wakiwa katika tamasha hilo 
Wageni kutoka nchi mbali mbali 
Wanahabari wakifuatilia tamasha hilo 
wanahabari Wamiliki wa blog wakibadilishana mawazo 
Wanahabari kutoka mikoani walioshiriki tamasha hilo 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE