September 18, 2017

SAFARI YA MWISHO YA MDAU WA MATUKIODAIMA ANETH DUMA NGELIME

Aneth Duma Ngelime enzi za uhai wake
mume wa Aneth Frizy Ngelime na watoto wakiweka shada la maua wakati wa mazishi yaliyofanyika jana kwenye makaburi ya Mlolo Iringa mjini 
Wakwe wa Aneth wakiweka shada la maua 
Waombolezaji wakiwa katika makaburi ya Mlolo 
Fikiri Nyaluke kutoka Mufindi akiwawakilisha wana Mufimdi 
Wanachuo wa chuo cha mipango Dodoma wakiweka shada kwenye kaburi la mwenzao huyo 
Aneth alikuwa ni mwanafunzi wa chuo cha mipango Dodoma alifariki juzi katika hospitali ya mkoa wa Iringa baada ya kulazwa kwa siku tatu, katika uhai wake alikuwa ni afisa mtendaji kata ya Isakalilo mjini Iringa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE