September 18, 2017

RDO MDABULO VTC: Nafasi za Masomo kwa Mwaka wa masomo 2017/2018.
Chuo cha ufundi stadi Mdabulo kinachotambulika kwa jina la RDO MDABULO VTC chenye usajili namba VET/IRA/PR/2015/C/084 kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2017/2018 kwa fani mbalimbali.
Ushonaji (Miaka 3),
Useremara (Miaka 3),
Upishi (Miaka 3),
Umeme wa Majumbani (Miaka 3),
Uchomeleaji na uungaji vyuma (Miaka 3) na
Mifugo( Miaka 3).
Chuo kinapatikana wilayani Mufindi katika mkoa wa Iringa. Aidha Chuo hiki kinashirikiana na chuo cha RDO KILOLO VTC kilichopo wilayani Kilolo katika mkoa wa Iringa. Katika Chuo cha KILOLO mafunzo yanayotolewa ni kama ifuatavyo;
 Ushonaji (Miaka 3),
Useremara (Miaka 3),
Uashi (Miaka 3).

Chuo pia kinatoa mafunzi ya muda mfupi kwa fani tajwa hapo juu na kompyuta.
Chuo kinatoa mafunzo mbalimbali kufuata mitaala ya VETA na kinawashirikisha katika shughuli mbalimbali za kuwaandaa katika kujitegemea.
Ada ni nafuu na nafasi za Hosteli zinapatikana.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20 Novemba, 2017.
Kwa masiliano Zaidi;
RDO MDABULO VTC
Mkuu wa Chuo :          0765878697 
Mratibu wa Mafunzo : 0758036537
RDO KILOLO VTC
Mkuu wa Chuo :          0757975259
Mratibu wa Mafunzo : 0757608534

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE