September 15, 2017

RC IRINGA AFUNGA MAFUNZO YA AWALI YA KWA MUJIBU JKT MAFINGA LEO

Kamanda wa kikosi cha JKT Mafinga Luteni kanari Hamis Mayamba Maiga akimpokea mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza leo kwa ajili ya sherehe ya kumaliza mafunzo ya awali ya kijeshi kwa mujibu wa sheria leo 
Mwakilishi wa JKT taifa akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Iringa 
Usikose kuendelea kufuatilia 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE