September 26, 2017

MWANAUME MATATANI AKIWA AMEFICHA DHAHABU KWENYE NYETI

Sri Lankan officials presenting the smuggled itemsMwanamume akamatwa akiwa ameficha dhahabu sehemu ya choo cha nyuma
Mamlaka nchini Sri Lanka zimemkamata mwanamume ambaye alijaribu kusafirisha dhahabu na vito vya karibu kilo moja, alivyokwa ameficha sehemu ya nyuma ya siri.

Maafisa wa forodha walipata gramu 904 za dhahabu yenye thamani ya dola 29,370 ndani sehemu ya nyuma ya siri

Mwanamume huyo raia wa Sri Lanka mwenye umri wa miaka 45, alikuwa safarini kwenda nchini India, lakini akasimamishwa kwenye uwanja wa kimataifa wa Colombo.
  Sri Lankan officials presenting the smuggled items
Mwanamume akamatwa akiwa ameficha dhahabu sehemu ya choo cha nyuma
Kumekuwa na visa kama hivyo miaka ya hivi karibuni.

Watu hununua dhahabu maeneo kama Dubai na Singapore ambapo bei ni ya chini na kisha kuisafirisha hadi India ambapo bei yake ni ya juu.

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE