September 20, 2017

MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI (NEEC) WAFANYIKA LEO MJINI IRINGA

Mkuu wa  mkoa wa  Iringa  Amina Masenza  akifungua  baraza la  Taifa la  uwezeshaji  wananchi  kiuchumi leo  katika ukumbi wa  Siasa ni  kilimo
Washiriki  wakiwa katika  ukumbi  wa  siasa  ni  kilimo leo
Mkutano  wa  baraza la Taifa  la  uwezeshaji  wananchi kiuchumi  likiendelea
Add caption
Wakuu  wa  mikoa wakiwa  katika  picha ya  pamoja na  baadhi ya  washiriki  wa  mkutano  wa  baraza la Taifa la uwezeshaji wananchi kiuchumi  leo
wakuu  wa  miko ya Njombe , Iringa na  Mbeya  wakiwa  katika  picha ya  pamoja leo  Picha zote na Mgonanzi wa  matukiodaima

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE