September 20, 2017

MBUNGE KUBENEA AUGUA KAMATI YA BUNGE MAADILI YASHINDWA KUMHOJI

 Saed Kubenea Mbunge wa Ubungo ambae Leo amesafirishwa kwa ndege kwenda Dodoma akitokea Dar, kwa ajili ya kwenda kuhojiwa na kamati ya maadili ya bunge amerejeshwa tena Dar es salaam baada ya kuugua na kushindwa kuhojiwa 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE