September 16, 2017

MATOKEO LIGI KUU VPL LIPULI NA RUVU ,MAJIMAJI NA YANGA

Ligi kuu ya vodacom Tanzania bara inaendelea leo kwenye viwanja mbali mbali kwa mkoa wa Iringa Lipuli FC  imewakaribisha Ruvu na Majimaji ipo na Yanga hadi sasa kipindi cha kwanza kimemalizika matokeo ni bila bila hawajafungana

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE