September 23, 2017

MAJI YA KINYESI YATUMIKA KUMWAGILIA MBOGA IRINGA MJINI

Haya  ndio  maji  ya  kinyesi yanayotumiwa na  wakulima wa eneo la kwa Mchina Donbosca mjini  Iringa kulima mboga mboga
Bustani zikiendelea  kulimwa  eneo hilo
Mifereji ya  maji  tata  yanayotumika  kulimia  mboga mboga
Mchicha ukiwa  umestawi  vema  katika  eneo hilo
Mzee  akionyesha maji ya  kinyesi yanayotumika kulima mboga mboga  ila  wakazi wa Hoho  wamekuwa  wakiyatumia kunywa na kupikia

Mzee  akilima bustani
Hata  hivyo maji  hayo  inadaiwa ni  safi  na  salama kwa  matumizi ya  binadamu usikose  kufuatilia undani wa maji  haya wiki  ijayo  hapa endelea  kutembelea  matukiodaimablog pia  unaweza pakua App yetu katika Play Strore tafuta matukiodaimablog au tembelea  matukiodaimaTv katika Youtube kisha subscribe ili upate kila  tukio Live

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE