September 10, 2017

LIPULI FC YAIFANYA KWELI STENDI UNITED UWANJA WA SAMORA

Timu  ya  Lipuli  Fc  imeamusha  shamla  shamla  katika  uwanja wa  samora  Iringa baada ya  kuichapa timu ya Stendi goli moja bila katika  mchezo unaoendelea  zikiwa ni dakika  za  lala  salama kipindi  cha  pili 

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE