September 10, 2017

LIPULI FC 1 STENDI 0

TIMU ya  Lipuli  Fc  imefanikiwa   kupata  goli la kuongoza  kati ya  Standi  chama  ya wana katika  kipindi  cha pili  mchezo unaoendelea  uwanja wa  Samora  ,goli  hilo  limefungwa  kipindi cha  pili huku  timu ya  stendi ikiwa  bado haijapata  goli

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE