September 7, 2017

KUMEKUCHA BARAZA LA MAWAZIRI LA JPM KUVUNJWA

Related image

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli

kuna  kila  dalili  ya  kuvunjwa  kwa  baraza la mawaziri baada ya Raisi  Dk John Magufuli  kuwataka  mawaziri  wake  waliotajwa  kwenye  ripoti ya madini  kujitafakari  huku  waziri Simbachawe akiwa  wa  kwanza  kujiuzulu baada ya  Rais  kutaka  wajitathimini .

Rais  amewataka   vigogo wote waliotajwa kwenye ripoti ya Almasi na Tanzanite ambao aliwateuwa yeye waachie ngazi walizonazo.

Pamoja na Rais kutaka viongizi hao wajiuzulu amevitaka vyombo vya Usalama vyote nchini kuwachukulia hatua mara moja.

Akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam, Dk Magufuli alisema Tanzania licha ya kuwa na maajabu mengi lakini kwa imekuwa na ajabu jingine ambalo limekuwa likiirudisha nyuma nchi ambalo ni kushindwa kusiamamia rasilimali za nchi.Ingia  hapa www.jonewstz.com

0 comments:

Post a Comment

AHSANTE KWA KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZETU PIA KUJITANGAZA NASI IWAPO UNAHABARI AMA TANGAZO WASILIANA NASI 0754 026299 Email . fgodwin94@gmail.com , ANGALIZO KUMBUKA KILA MMOJA ANA MTAZAMO WAKE HIVYO TUMIA LUGHA NZURI KATIKA KUTOA MAONI YAKO IWAPO UTASHINDWA BASI NI HERI USITOE MAONI SI LAZIMA ILI KUEPUSHA MAKWAZO KWA MWINGINE